Baadhi ya waumini walioshiriki katika Misa Takatifu leo wakiwa nje ya Kanisa mara baada ya Misa takatifu kuisha.
Mwenyekiti wa Parokia Dr Mfungahema(mwenye suti) akifafanua jambo kwa Mama Mongela na baadhi ya waumini waliokuwa wakisikiliza maelezo kuhusiana na mambo ya Umeme katika Kanisa Jipya
Engineer Deo akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Parokia Ndugu Dr Mfungahema(mwenye suti) kuhusu swala la umeme la kubadilisha bomba zilizotokeza nje ya Nguzo na kurudishiwa kabla ya zege kumwaga leo hii
Zoezi la kuweka kinga ya Wadudu watambaao na watembeao likiendelea. Dawa hii inasaidia kwa sasa na hata siku za mbeleni kwani ni kinga na pia hufukuza wadudu wote watambaao na warukao
Engineer Deo (wa kutoka kushoto) akimpatia maelezo Maxmilian(mwenye kofia) kuhusu kusimamia swala zima la kuamishwa kwa bomba za umeme
Mashine itumikayo kukologa na kumwaga zege. Aliyekuwa pembeni ndio anayesaidia katika kuandaa na kutoa zege tayari kwa kumwagwa kwenye Jamvi
Engineer deo(aliyenyoosha kidole) akimwelekeza jambo Fundi umeme kufanya masahihisho ya Uwekaji wa mabomba. Kutoka kulia ni Fratel Dismas(mwenye Kanzu),Father kasuku(mwenye Tshirt Nyekundu), Fundi Umeme na wa mwisho ni Paroko Baba Gallen Mvungi(mwenye Tshirt Nyeupe)
Baba Paroko akifafanua Jambo kuhusu kuongezwa kwa socket chini ya ngazi ya Altare.Alisema hayo wakati wa kushauri kuhusiana na wakati wa ndoa watu wa Video shooting wanapohitaji kutumia umeme na sio tena kupanda juu na kuanza kuchomeka taa zao
Baadhi ya watu Vibarua waliofika katika kumwaga zege wakijadiliana kabla ya kuanza kazi