Thursday, September 20, 2012

IBADA YA KUABUDU LEO JIONI

Leo ilikuwa ni siku ya kuabudu Ekaristi Takatifu. Waamini mbalimbali walishiriki katika kuabudu kwani katika Somo lilisomwa kutoka kwa Enjili ya Mathayo lilituasa wakristu Daima tukapate kujitolea kuja kuongea na Yesu wa Ekaristi kila tunapopata nafasi,Pia kwenda kuwaombea watu mbalimbali lakini hasa zaidi kuomba huruma ya Mungu katika Maisha yetu ya kila siku

           Altare ikiwa imeandaliwa kwa ajili ya Ibada ya kuabudu
        Mwanzo wa Ibada ya Kuabudu
      Waamini walioshiriki katika Ibada ya Kuabudu

Baadhi ya Waumini na Wanafunzi wa Kipaimara walioshiriki katika Ibada ya kuabudu Ekaristi Takatifu

No comments:

Post a Comment