Monday, September 24, 2012

Harambee na Matukio Baada ya Misa

Baada ya Misa kuisha Baba Askofu,Mapadri,Frateri  na Waliopokea Kipaimara (Mhuri wa Roho Mtakatifu) katika picha ya Pamoja
Waliopata  Kipaimara walikuwa Wanafunzi 31 katika siku ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi
Mama BJ  wakijadili jambo na Mwenyekiti Msaidizi wa Parokia Ndg: R Kasikila(mwenyesuti)na wa Mwisho kushotoni Mtunzafedha Chesco

 Dr Mary Mboya akijadiliana jambo na Mrs Kidanka(wa katikati) kuhusu upelekaji wa Vipaji

 Dr R. Mfungahema akijadiliana jambo na Viongozi wenzake

 Mama Mary Hokororo(wa kwanza Kushoto),Mama Ishengoma(wa katikati) na Mama Bj katika picha ya pamoja

 Baadhi ya Vijana katika picha ya pamoja


Kaka Leo  na Dada Gloria wakiwa ndani ya Yesu. Mfano huu ni wakuigwa kwa watoto hawa kwani daima huwa mbele kuja kanisani na kujifunza.Hongereni sana Baba na Mama gloria, na Familia ya Baba Leo

No comments:

Post a Comment