KWARESMA NJEMA
Lakini
hata sasa asema Bwana nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa
kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza; rarueni mioyo yenu, wala si
mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye
neema...yoeli 2:12~18.
Nawatakia maandalizi mema ya kwaresima
Tuendelee kukumbuka kwenda katika njia ya Msalaba kila Ijumaa,mahali popote Ibada ya njia ya Msalaba hufanyika saa kumi na moja jioni
Mtazame Mwokozi Msalabani alivyotundikwa pasipo makosa ili Sisi sote tukombolewe
haiingii akilini kuwa baba atafurahi kuona mwanae anasulubiwa kwa viumbe wake aliyewaumba mwenyewe nakataa yesu hakusulubiwa hizo ni katika makufuru yaan nabii wa mungu avuliwe nguo halafu asulubiwe sasa huyo mungu alikuwa wapi acheni kupotosha ulimwengu
ReplyDeleteKwanza yesu alitumwa kwa wana wa israel tu na sio uliwengu mzima matayo 24:4 na soma 3:55 quran
kama kufa kwa yesu na kufufuka ndo uokovu basi zama za kina ibrahimu,musa,nuhu, nk.watu wao wataingia motoni kwan mitume wao hawakufa wala kufufuka ili awakomboe
nione facebook.com/Hussein Mnyaruge
TUENDELEE KUPENDANA NA SIO KUCHUKIANA
MUHAMMAD IS THE WAY OF ALLAH AND NOT JESUS