Monday, September 24, 2012

Misa ya Kipaimara na Uwekwaji wa Jiwe la Msingi

Awali ya yote tunamshukuru Mungu mwenyezi kwa kutujalia kuweza kufikia siku ya tarehe 22/09/ ambayo ilikuwa siku rasmi ya Uwekwaji wa Jiwe la Msingi na .Hatimaye yalitimia kwa Baba Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kuweka Jiwe la Msingi

Yafuatayo ni Matukio wakati wa Ujio wa Uwekwaji wa  Jiwe la Msingi
Msafara ukiwa unawasili na Baba Mwadhama Polcalp  Kardinali Pengo
Utoto Mtakatifu wakiwa Wamejipanga pembezoni mwa Barabara kwa ajili ya kumlaki Baba Askofu na Wanafunzi wanaotarajia kupata Kipaimara

 Baba Askofu akiwasili huku Baba Paroko Mvungi akiwa tayari kumpokea
Baba Askofu akiwasalimu Baadhi ya Waamini na Watoto wa Kipaimara
Mahali pa kufanyia Sala palipoandaliwa kwa ajili ya Baba Askofu

                      MAHALI PA MISA TAKATIFU KATIKA KANISA JIPYA
Altare akiendelea Kuandaliwa na Baadhi ya Waamini

                                         Eneo lililoandaliwa kwa ajili ya waamini

Watoto wa Umisionari wa Utoto Mtakatifu wakiwa wamejipanga kwa Maandamano ya kuanza Misa Takatifu
Wanafunzi wa Kipaimara wakiwa Tayari Kumleta Baba Askofu kwa ajili ya Adhimisho la Misa  Takatifu



Baadhi ya Waamini Wakifatili Misa Takatifu

                  Uwekwaji wa Jiwe la Msingi

 Baba Askofu akiwa tayari kukata utepe wa Jiwe la Msingi kuwabariki Waumini kwa Maji ya Baraka

 Baba Paroko akitoa maelezo kabla ya kurudi kumalizia Ibada



Baba Askofu akiwa anabariki jiwe la msingi kwa Maji ya Baraka


Maneno yaliyoandikwa kwenye Jiwe la Msingi yanasomeka hivi:






No comments:

Post a Comment